Wewe Ndiwe Petro

Wewe Ndiwe Petro
ChoirShirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka)
AlbumKaribu Tanzania
CategoryChurch
ComposerStanslaus Mujwahuki

Wewe Ndiwe Petro Lyrics

  1. Wewe ndiwe Petro, wewe ndiwe Petro
    Na juu ya mwamba huu, nitalijenga kanisa langu
    {Wala milango (wala milango) ya kuzimu (ya kuzimu) haitalishinda } *2

  2. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa Mbinguni
    Na lolote utakalolifunga dunia litakuwa limefungwa Mbinguni
  3. Na lolote utakalo fungua duniani litakuwa limefunguliwa Mbinguni