Wateule wa Bwana
Wateule wa Bwana | |
---|---|
Performed by | Shirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka) |
Album | Karibu Tanzania |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Stanslaus Mujwahuki |
Views | 8,334 |
Wateule wa Bwana Lyrics
{Wateule wa Bwana, Karibuni mezani pake, njooni
Bwana awaalika enyi wenye moyo safi} *2
{Amewaandalia, leo, karamu takatifu
Mwili na damu yake chakula safi cha roho} *2- Kwanza tuzitakase nafsi zetu wenyewe
Tukisha kutakasa, tuje mbele zake - Karibuni mezani, Bwana awaalika
Kwenye karamu yake, enyi wenye moyo safi - Na tule mwili wake, na tunywe damu yake
Ndicho chakula bora, cha rohoni karibuni