Utukufu na Ukuu

Utukufu na Ukuu
ChoirShirikisho la Kwaya Katoliki Dsm (Shikwaka)
AlbumKaribu Tanzania
CategoryKristu Mfalme (Christ the King)
ComposerJohn Mgandu

Utukufu na Ukuu Lyrics

{ Utukufu na ukuu una yeye Bwana
Hata milele na milele } * 2

  1. Ee Mwanakondoo
    Astahili kupokea enzi na utajiri
  2. Ee Mwanakondoo
    Astahili kupokea nguvu na heshima
  3. Ewe Mungu wangu
    Mpatie mfalme hukumu pia na haki yako