Ninyi Nimewaita Rafiki

Ninyi Nimewaita Rafiki
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerJohn Mgandu
Views6,372

Ninyi Nimewaita Rafiki Lyrics

  1. Ninyi nimewaita rafiki zangu * 2
    Kwa kuwa yote niliyoyasikia kwa Baba yangu *2
    Nimewaarifu

  2. Ninyi ni rafiki zangu rafiki zangu
    Kama mkifanya niliyosema
  3. Ninyi siwaiti tena watumishi
    Mtumishi hajui analofanya Bwana
  4. Nimewachagua ninyi mkazae matunda
    Mkazae matunda yanayodumu