Ewe Maria Umebarikiwa
| Ewe Maria Umebarikiwa |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Bikira Maria |
| Views | 6,378 |
Ewe Maria Umebarikiwa Lyrics
{We Maria
Umebarikiwa kuliko wanawake wote
Umetuzalia Mtoto Mwanaume } *2
Mwenye ufalme mabegani mwake * 2
- Bikira Maria umebarikiwa kuliko wanawake wote
Umetuzalia mtoto mwanaume, mtawala ni mfalme wetu
- Mtoto mwanaume ni Bwana mtawala wa Mbingu na dunia
Maria ni Mama, ni Mama wa Mungu, pia ni mama yetu sisi
- Ee Mama wa Mungu tunakupongeza kwa kutuletea Mwokozi
Maria twaomba maombi yetu yafike kwa Yesu mwanao