Aleluya Kazaliwa

Aleluya Kazaliwa
ChoirSt. Antony of padua Magomeni
AlbumNyimbo za Noeli
CategoryNoeli (Christmas Carols)
ComposerE. I. Kalluh
SourceTanzania

Aleluya Kazaliwa Lyrics

Aleluya kazaliwa Mkombozi Yesu Kristu
Aleluya kazaliwa Mkombozi wa dunia, aleluya
{Aleluya aleluya aleluya aleluya
Aleluya aleluya aleluya } *2

  1. Tumshangilie Mwana wa Mungu
    Mfalme wetu Mtukufu Masiha
  2. Miisho yote ya dunia
    Imeuona wokovu wa Mungu wetu
  3. Leo amezaliwa kwa ajili yetu Mwokozi
    Ndiye Kristu Bwana