Mji wa Daudi
Mji wa Daudi | |
---|---|
Alt Title | Masiya Amezaliwa Wapi |
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Views | 4,450 |
Mji wa Daudi Lyrics
- Masiya amezaliwa wapi - hao ni mamajuzi
Kwani sisi tumetoka mbali - nyota tumeiona{Ni wewe mji wa Daudi ambao u mdogo sana
Masiya amezaliwa kwako }* 2 - Mama juzi walikwenda huko - huku wakifurahi
Kurudi nyuma kwao ni mwiko - wamwone Masiya - Ewe Yusufu na Mariamu - kimbieni Misri
Mfalme ataka mwaga damu - hiyo iwe ni siri