Bwana Yesu Kazaliwa

Bwana Yesu Kazaliwa
Performed bySt. Peter Oysterbay
AlbumNyimbo za Noeli
CategoryNoeli (Christmas Carols)
ComposerA. E. Nambuyu
Views8,212

Bwana Yesu Kazaliwa Lyrics

  1. Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya * 2
    Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya *2

  2. Amezaliwa (chah!) pangoni Bethlehemu (chah!)
    Ndiye Mwokozi (chah!) wetu wa dunia
  3. Leo tufurahi, Masiya kazaliwa
    Ametuletea, Ukombozi wetu
  4. Ametukomboa, kutoka dhambini
    Hivyo tuna haki kushangilia
  5. Malaika Mbinguni, pia wanaimba
    Nyimbo nzuri sana, pia za kupendeza