Mwokozi Wetu Amezaliwa
Mwokozi Wetu Amezaliwa | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Composer | Stanslaus Mujwahuki |
Views | 5,465 |
Mwokozi Wetu Amezaliwa Lyrics
Mwokozi wetu amezaliwa,
njooni tumsifu na tumwabudu
Pamoja na malaika Mbinguni,
tumshangilie tuimbe aleluya
Pamoja na malaika Mbinguni,
tumshangilie tuimbe aleluya- Kwa ajili yetu amezaliwa,
Njooni tumsifu na tumwabudu - Amezaliwa Bethlehemu
Njooni Tumsifu na tumwabudu - Ni Mungu kweli, na mtu pia
Nasi wakristu tumwabudu