Mwana wa Mungu Amezaliwa
| Mwana wa Mungu Amezaliwa | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Noeli (Christmas Carols) |
| Composer | Fr. D. Ntampambata |
| Views | 4,816 |
Mwana wa Mungu Amezaliwa Lyrics
Mwana wa Mungu (Mwana wa Mungu) amezaliwa (amezaliwa)
Yeye ni Mungu (Yeye Mungu) tukamwabudu- Mwana wa Mungu kashuka kwetu
Yeye ni Mungu tukamwabudu - Kitoto Yesu yuko pangoni
Yeye ni Mungu tukamwabudu - Haya twendeni pale alipo
Yeye ni Mungu tukamwabudu