Hodi Ee Wachunga

Hodi Ee Wachunga
ChoirSt. Peter Oysterbay
AlbumNyimbo za Noeli
CategoryNoeli (Christmas Carols)
ComposerA. Liampawe
SourceTanzania

Hodi Ee Wachunga Lyrics


{Hodi ee Wachunga, amkeni msiwe na woga,
Amkeni upesi amkeni hima twende Bethlehem } *2

{Tukamuone Mtoto, tumwimbie na nyimbo
Tumpigie na ngoma, aleluya leo } *21. Mwokozi kazaliwa, mjini mwa Daudi
Twende tumwone, tukamsujudu

2. Nyasi amelalia, jukumu la Maria
Akimtunza Mtoto, Mkombozi wetu

3. Wafalme wa dunia, wanajipangapanga
Wanafanya ghasia, juu ya Masiya

4. Tuimbe kwa furaha, na ngoma tumpigie
Kwa furaha na shangwe, tuimbe aleluya

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442