Haya Twendeni Wote

Haya Twendeni Wote
Performed bySt. Peter Oysterbay
AlbumNyimbo za Noeli
CategoryNoeli (Christmas Carols)
ComposerI. P. Nganga
Views4,690

Haya Twendeni Wote Lyrics

  1. { Haya twendeni wote kule Bethlehemu,
    tukamwone, tukamwone, Mkombozi wetu } *2

  2. Amelazwa nyasini -huyo mtoto Yesu
    Mnyonge na mkiwa - huyo mtoto Yesu
    Haya twende, haya twende
  3. Maria na Yosefu - huko Bethlehemu
    Wanamsujudu mtoto - huko Bethlehemu
    Haya twende, haya twende
  4. Wachunga waenda mbio - huko Bethlehemu
    Kumwona mtoto Yesu - huko Bethlehemu
    Haya twende, haya twende
  5. Malaika waimba - huko Bethlehemu
    Kumsifu Bwana wetu - kaja duniani
    Haya twende, haya twende