Heri Mtoto Yesu
| Heri Mtoto Yesu | |
|---|---|
| Performed by | St. Peter Oysterbay |
| Album | Nyimbo za Noeli |
| Category | Noeli (Christmas Carols) |
| Composer | Fr. Songoro |
| Views | 4,819 |
Heri Mtoto Yesu Lyrics
Heri, heri Mtoto Yesu
Heri, heri Mtoto Yesu
Heri maziwa uliyonyonya
Heri na tumbo lililo kuzaa
Heri maziwa uliyonyonya
Heri na tumbo lililokuzaa- Yesu ni Mwana wa Mungu
Mpatanishi wetu na Mungu
Mkombozi wetu twakuungama
Tukupambeje tuweze kueneza utukufu wako
Heri heri heri twakutakia