Hodi Wachunga
| Hodi Wachunga | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Noeli (Christmas Carols) |
| Composer | (traditional) |
| Views | 6,362 |
Hodi Wachunga Lyrics
- Hodi wachunga, msiwe na woga
Amkeni upesi, Bethlehemu mje nasi
Alipozaliwa Mwokozi wenu - Haya twendeni, yumo pangoni
Nyasi alalia alowashukia
Mwenyeji wa mbingu Mwokozi wenu - Pamoja naye mna mamaye
Yeye na Yosefu, mlinziwe mtukufu
Wamtunza kitoto, Mwokozi wenu - Mtukufu Mungu katika mbingu
Na kwenu amani kwa watu amani
Wenye kumwungama Mwokozi wenu - Wakristu nyie twende na siye
Kwenye mwana mchanga kama`o wachunga
Nasi tumwabudu Mwokozi wetu
Recorded by
* St. Cecilia
* St. Cecilia Mavurunza