Shangilieni Kwa Kuwa Mfalme Yuaja

Shangilieni Kwa Kuwa Mfalme Yuaja
Choir-
CategoryMajilio (Advent)

Shangilieni Kwa Kuwa Mfalme Yuaja Lyrics

 1. Shangilieni kwa kuwa Mfalme yuaja
  Anakuja kututoa utumwani
  Anakuja kwetu, anakuja kutuokoa

  Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu
  Anakuja kwetu Mtawala Bwana
  Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu
  Anakuja kwetu Mtawala Bwana

 2. Tayarisheni mapito yake,
  Dondoeni njia zake
  Tubuni dhambi zenu, pokeeni wokovu wake
 3. Mrudieni Mwenyezi Mungu,
  Fungueni mioyo yenu
  Basi anakuja, anakuja na enzi