Tuliona Nyota Yake
Tuliona Nyota Yake | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Noeli (Christmas Carols) |
Composer | Basil Lukando |
Views | 4,363 |
Tuliona Nyota Yake Lyrics
Tuliona nyota (tuliona nyota) yake (kule) mashariki
Na tumekuja na zawadi kumsujudia Bwana- Yesu Kristu alipozwaliwa Bethlehemu ya Uyahudi
Tazama mamajuzi wale wa mashariki
Ni zamani za yule mfalme anayeitwa Herode
Wafika Yerusaleme nao wakisema - Yuko wapi aliyezaliwa mfalme wa wayahudi?
Kwa maana sisi tuliona nyota yake mashariki.
Nasi tumekuja kumsujudia,
Herode kusikia, anafadhaika.