Ni Furaha Tushangilieni Lyrics

NI FURAHA TUSHANGILIENI

Ni furaha tushangilieni, kazaliwa
Mwokozi Yesu ni furaha tele Bethlehem
Ule utabiri uliosemwa na Isaiah umetimia

 1. Yesu Kristu mwana wa Mungu kazaliwa huko
  Bethlehem, Twende tukamwabudu, twende
 2. Kuzaliwa kwake Immanueli Bwana Kristu
  Ni kuonyesha Mungu ni mkarimu, kweli
 3. Twende tumwone mashariki na malaika
  Alionyesha mwokozi kazaliwa, wote
 4. Waumini tumwimbieni kwa furaha
  Tumshangilieni mfalme mwenye nguvu,, kweli
 5. Nyumbani mwa daudi katoka mwana mwenye
  uwezo, wa kifalme tushangilieni, wote
Ni Furaha Tushangilieni
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
SOURCEMatinyani Kitui
 • Comments