Neema ya Kijani
| Neema ya Kijani |
|---|
| Performed by | - |
| Album | Bwana ni Alfa na Omega |
| Category | Tafakari |
| Composer | Bernard Mukasa |
| Views | 3,178 |
Neema ya Kijani Lyrics
- Aliwaumba Mungu akawapa neema
Iwasaidie mnazichezea mtazikumbuka ninyi ao wanadamu
Acha kuyaharibu mazingira
Chanzo cha mito kuganda uoto
Ni zawadi tumejaliwa na Mungu
Nasi tuitunze ilivyo neema ya kijani
- Kukata miti ovyo ni kuharibu kazi ya uumbaji wa Mungu
- Kuunguza misitu bila sababu kunapunguza neema ya kijani
- Kutupa taka bila utaratibu, kunaushusha thamani utu wetu
- Kulima shamba kwenye vyanzo vya maji ni kuharibu urithi wa watoto