Ya Nini Malumbano
| Ya Nini Malumbano |
|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Composer | Victor Aloyce Murishiwa |
| Views | 3,918 |
Ya Nini Malumbano Lyrics
{Ya nini malumbano hayo
Ya nini malumbano hayo ndani ya moyo wako} *2
Chagua kuwa moto au baridi sio vuguvugu
ewe Mkristu utaponea wapi wewe
Chagua kuwa moto au baridi sio vuguvugu
ewe Mkristu utaponea wapi wewe
- Asubuhi kanisani na jioni kwa waganga
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Yesu unamhitaji na dunia unaipenda
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
- Imani bila matendo haifai kitu kwa Bwana
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Angalia wadhulumu maskini na wahitaji
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
- Uongo unaongea kutwa kucha wala huchoki
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe
Rushwa unapokea majivuno wala huachi
Siku ya mwisho utaponea wapi wewe