Wewe Bwana Nguvu Yangu
| Wewe Bwana Nguvu Yangu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | TBA |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 5,016 |
Wewe Bwana Nguvu Yangu Lyrics
Wewe Bwana nguvu yangu nakupenda sana wewe
Bwana ni jabali langu ni jabali na boma langu na Mwokozi wangu- Mungu wangu Mwamba wangu ninayekukimbilia
Ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu - Nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa
Hivyo nitaokoka na adui zangu - Bwana ndiye aliye hai na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu
Ampa wokovu mkuu amfanyia fadhili masihi wake