Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa
| Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Thanksgiving / Shukrani |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 13,076 |
Nitakushukuru kwa Kuwa Nimeumbwa Lyrics
{Nitakushukuru nitakushukuru kwa kuwa nimeumbwa
Kwa jinsi ya ajabu, kwa jinsi ya ajabu ya kutisha} *2- Ee Bwana umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu
Umelifahamu wazo langu tokea mbali - Umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu
Umeelewa njia zangu njia zangu zote njia zangu zote