Ee Mungu Nchi Yote Itakusujudia
Ee Mungu Nchi Yote Itakusujudia | |
---|---|
Performed by | - |
Category | TBA |
Composer | John Mgandu |
Views | 4,375 |
Ee Mungu Nchi Yote Itakusujudia Lyrics
Ee Mungu ee Mungu nchi yote itakusujudia na kukuimbia Bwana
Italiimbia Jina Lako, Jina Lako wewe Mtukufu
Italiimbia Jina Lako, Jina Lako wewe Mtukufu- Mpigieni Mungu kelele za shangwe
Imbeni utukufu wa jina jina lake - Tukuzeni sifa zake mwambieni Mungu
Matendo yake yanatisha yatisha kama nini