Nchi Imejaa Fadhili za Bwana
| Nchi Imejaa Fadhili za Bwana | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 7,225 |
Nchi Imejaa Fadhili za Bwana Lyrics
Nchi imejaa, nchi imejaa fadhili za Bwana
Kwa neno la Bwana Mbingu zilifanyika
Aleluya aleluya aleluya aleluya- Kwa kuwa Neno la Bwana lina adili
Na kazi yake huitenda kwa uaminifu - Huzitenda haki na hukumu
Nchi imejaa fadhili za Bwana - Tazama jicho la Bwana ni kwa wamchao
Wazingojeeao fadhili zake