Nalisema Nitayakiri Maasi Yangu
| Nalisema Nitayakiri Maasi Yangu |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 7,397 |
Nalisema Nitayakiri Maasi Yangu Lyrics
Nalisema nitayakiri maasi yangu ee Bwana
Nawe ukausamehe upotovu wa dhambi yangu
Nawe ukausamehe upotovu wa dhambi yangu
- Heri aliyesamehewa dhambi na kusitiriwa makosa yake
Heri Bwana asiyemhesabia upotovu
- Nalikujulisha dhambi yangu
Wala sikuuficha upotovu wangu
- Ndiwe sitara yangu utanihifadhi na mateso
Utanizungushia nyimbo za wokovu
- Naye mtu mwovu ana mapigo mengi
Bali amtumainiaye Bwana fadhili zinamzunguka