Ee Bwana Utege Sikio
Ee Bwana Utege Sikio | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Zaburi |
Composer | John Mgandu |
Views | 5,418 |
Ee Bwana Utege Sikio Lyrics
Ee Bwana, ee Bwana utege sikio lako unijibu *2
{Wewe uliye Mungu wangu umwokoe mtumishi wako
Mtumishi wako anayekutumaini } *2- Ee Bwana unifadhili, wewe Bwana unifadhili
Maana nakulilia wewe mchana kutwa - Kwa maana wewe Bwana wewe Bwana u mwema
Umekuwa tayari kusamehe watu waote wakuitao - Ee Bwana unifadhili, wewe Bwana unifadhili
Maana nakulilia wewe mchana kutwa