Ee Bwana Usikie

Ee Bwana Usikie
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views7,560

Ee Bwana Usikie Lyrics

  1. Ee Bwana usikie, kwa sauti yangu ninalia
    Umekuwa msaada wangu usinitupe
    Wala usiniache ee Mungu Mungu wa wokovu wangu

  2. Nami nitatoa dhabihu za shangwe hemani mwake
    Nitaimba nitaimba naam nitamhimidi ee Bwana
  3. Uliposema nitafuteniu nitafuteni uso wangi
    Moyo wangu umekuambia Bwana Bwana uso wako nitautafuta