Ee Bwana Usikie
| Ee Bwana Usikie | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Composer | John Mgandu |
| Views | 9,806 |
Ee Bwana Usikie Lyrics
Ee Bwana usikie, kwa sauti yangu ninalia
Umekuwa msaada wangu usinitupe
Wala usiniache ee Mungu Mungu wa wokovu wangu- Nami nitatoa dhabihu za shangwe hemani mwake
Nitaimba nitaimba naam nitamhimidi ee Bwana - Uliposema nitafuteniu nitafuteni uso wangi
Moyo wangu umekuambia Bwana Bwana uso wako nitautafuta