Ee Bwana Ulimwengu Wote
Ee Bwana Ulimwengu Wote | |
---|---|
Performed by | St. Joseph Cathedral Dar-es-Salaam |
Category | Zaburi |
Composer | John Mgandu |
Views | 5,040 |
Ee Bwana Ulimwengu Wote Lyrics
Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wako
{Wala hakuna awezaye kukupinga
Wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda }*2- Wewe umeumba vyote Mbingu na nchi
Na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya Mbingun
Ndiwe Bwana Bwana wa vyote - Kwa kuwa Bwana ni mkuu
Mwenye kusifiwa sana na wa kuhofiwa kuliko miungu
Maana miungu ya watu si kitu
Lakini Bwana ndiye aliyezifanya Mbingu
Umerekodiwa na kwaya kadhaa Tanzania, ikiwemo
* Kwaya ya Familia Takatifu, Kanisa kuu la Mt. Yosefu Jimbo la Dar-es-Salaam, Tanzania