Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu

Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views5,150

Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu Lyrics

  1. Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu
    Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu
    Nimekutumaini wewe nisiaibike
    Ee Mungu wangu, ee Mungu wangu
    Nimekutumaini wewe nisiaibike

  2. Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda
    Nao wakungojeao hawataaibika
  3. Bwana unijulishe njia zako zote Bwana
    Bwana unifundishe mapito yako yote