Bwana ni Nuru Yangu

Bwana ni Nuru Yangu
Performed byBlessed Joseph Allamano Mshindo Iringa
AlbumWatu Wamekengeuka
CategoryZaburi
ComposerJohn Mgandu
Views6,118

Bwana ni Nuru Yangu Lyrics

  1. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu *2
    Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu *2
    {Nimwogope nani, nimwogope nani, nimwogope nani
    Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu }*2

  2. Bwana ni ngome ya uzima na uzima wangu
    Nimhofu nani nimhofu nani
  3. Ee Bwana usikie kwa sauti ninalia
    Unifadili unijibu unifadhili unijibu
  4. Moyo wangu umekuambia, Moyo wangu umekuambia
    Bwana Bwana Bwana Bwana uso wako nitautafuta
Recorded by * Blessed Joseph Allamano Mshindo Iringa - * Blessed Mother Teresah Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma