Bahati Iliyoje
Bahati Iliyoje | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Composer | Stanslaus Mujwahuki |
Views | 4,042 |
Bahati Iliyoje Lyrics
Kweli bahati iliyoje kujongea meza ya Bwana
{(Ninapo) ninapokula mwili wa Bwana
(ninapo) ninapo kunywa damu ya Bwana
ninapata furaha kubwa amani rohoni mwangu} *2- Niulapo mwili wake Bwana, niunywapo damu yake Bwana,
Napata furaha na amani rohoni mwangu - Tule mwili wake Bwana Yesu, tunywe damu yake Bwana Yesu
Nyoyo zetu zitajawa neema na mwanga wa milele