Yesu Mwema Anateswa

Yesu Mwema Anateswa
Performed by-
CategoryTBA
Views2,255

Yesu Mwema Anateswa Lyrics

  1. Yesu mwema anateswa msalabani
    Analia, anasikitika juu ya dhambi yetu

  2. Yesu asali mlimani
    Jasho la damu linamtoka (kweli)
  3. Yesu ashukwa na Wayahudi
    Ili ateswe bila hatia (kweli)
  4. Alipofika kwa Pilato
    Kasingiziwa maovu mengi (kweli)
  5. Walimpiga mijeledi
    Taji la miiba awekelewa (kweli)
  6. Msalaba abebeshwa
    Kwa upendo apokea (kweli)