Yesu Mwema Anateswa

Yesu Mwema Anateswa
ChoirTBA
CategoryTBA
SourceTanzania

Yesu Mwema Anateswa Lyrics

Yesu mwema anateswa msalabani
Analia, anasikitika juu ya dhambi yetu

 1. Yesu asali mlimani
  Jasho la damu linamtoka (kweli)
 2. Yesu ashukwa na Wayahudi
  Ili ateswe bila hatia (kweli)
 3. Alipofika kwa Pilato
  Kasingiziwa maovu mengi (kweli)
 4. Walimpiga mijeledi
  Taji la miiba awekelewa (kweli)
 5. Msalaba abebeshwa
  Kwa upendo apokea (kweli)