Msifuni Yesu Mwokozi
| Msifuni Yesu Mwokozi |
|---|
| Performed by | - |
| Category | Zaburi |
| Views | 17,998 |
Msifuni Yesu Mwokozi Lyrics
- Msifuni Yesu mwokozi enyi malaika
Enyi malaika mwekeni mfalme wa yote
Kamvi-ke mvike mvike mvike
Mvike mvike mvike kamvike kilemba
- Enyi Waisraeli mliokombolewa
Mliokombolewa mwekeni mfalme wa yote
- nanyi waovu wenye dhambi Pendo lake kwenu
hausahauliki mwekeni mfalme wa yote
- Watu wa kabila zote katika dunia
Katika dunia mwekeni mfalme wa yote
- Shangwe na utukufu ziwe kwake Mkombozi
'kombozini na mfalme tumweke mfalme wa yote