Mwili wako Yesu Mwema
Mwili wako Yesu Mwema | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Ekaristia (Eucharist) |
Views | 3,666 |
Mwili wako Yesu Mwema Lyrics
Mwili wako Yesu mwema unatushibisha
Damu yako hakika inatuburudisha- Mema yote tunayoyapata maishani
Yanatuonya imani twatambua kuwa - Mbali nawe tunayo makubwa masumbuko
Twaja kwako kutulizwa kwa kuwa twajua - Ni bahati kushinda ile ya malaika
Na wanadamu kumla Bwana twashukuru kwani - Mapendo uliyotuonyesha msalabani
Yanashinda ufahamu kwetu sisi kweli - Na baadaye tukisha kupita uzima huu
Utupokee Mbinguni tufurahi nawe