Tazama Bikira Atachukua Mimba
Tazama Bikira Atachukua Mimba | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Majilio (Advent) |
Composer | (traditional) |
Views | 10,037 |
Tazama Bikira Atachukua Mimba Lyrics
Tazama Bikira atachukua mimba,
na yeye atazaa mwana,
Naye jina lake ni Emanueli,
yaani ni Mungu pamoja nasi- Malaika akasema, salamu ee Maria, Bwana yu nawe
- Utachukua mimba, utazaa mtoto, Bwana yu nawe
- Utampa jina Yesu, naye ni mtakatifu, Bwana yu nawe
- Mungu atampa kiti, cha babu yake Daudi, Bwana yu nawe