Enyi Watu wa Galilaya
Enyi Watu wa Galilaya | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Kupaa kwa Bwana (Ascension) |
Views | 6,510 |
Enyi Watu wa Galilaya Lyrics
Enyi watu wa Galilaya mbona mmesimama *2
mkitazama Mbinguni
Atakuja vivyo hivyo mlivyomwona
akienda zake Mbinguni
Aleluya Aleluya
Imba imba imba *3
Mwimbieni Bwana mfalme wetu
Amepaa kwa kelele za shangwe *2- Watu wote mpige makofi mpigieni Mungu
kelele ni mkuu wa dunia yote - Mungu amepaa kwa shangwe kwa sauti ya baragumu,
kwa kelele za shangwe kubwa - Mwimbieni mfalme wetu, mwimbieni nyimbo za shangwe,
mkipiga vigelegele