Enyi Watu wa Galilaya

Enyi Watu wa Galilaya
Choir-
CategoryKupaa kwa Bwana (Ascension)
SourceTanzania

Enyi Watu wa Galilaya Lyrics


Enyi watu wa Galilaya mbona mmesimama *2
mkitazama Mbinguni
Atakuja vivyo hivyo mlivyomwona
akienda zake Mbinguni
Aleluya Aleluya
Imba imba imba *3
Mwimbieni Bwana mfalme wetu
Amepaa kwa kelele za shangwe *2


1. Watu wote mpige makofi mpigieni Mungu
kelele ni mkuu wa dunia yote

2. Mungu amepaa kwa shangwe kwa sauti ya baragumu,
kwa kelele za shangwe kubwa

3. Mwimbieni mfalme wetu, mwimbieni nyimbo za shangwe,
mkipiga vigelegele

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442