Amepaa Amepaa

Amepaa Amepaa
Choir-
CategoryKupaa kwa Bwana (Ascension)
SourceTanzania

Amepaa Amepaa Lyrics

Amepaa amepaa juu Mbinguni
Amepaa amepaa juu Mbinguni

 1. Nimepewa mamlaka yote aleluya
  Mbinguni na duniani aleluya
 2. Nendeni mkawafanye mataifa yote aleluya
  Wawe wafuasi aleluya
 3. Wabatizeni kwa jina la Baba na mwana aleluya
  Na la Roho Mtakatifu aleluya
 4. Wafundisheni kushika maagizo yote aleluya
  Niliyowapeni aleluya