Mfalme Mtukufu
| Mfalme Mtukufu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Jumapili ya Matawi (Palm Sunday) |
| Views | 3,946 |
Mfalme Mtukufu Lyrics
- Mfalme mtukufu mpeni heshima
Fungueni lango ataingia
Mfalme gani huyu mwenye heshima
Ndiye mwenye nguvu ya kutawala - Lango la milele wazi funguka
Kwani mfalme wetu anaingia
Mfalme gani huyu mwenye heshima
Bwana wa malaika mwenye Imara - Enyi binadamu wenye ibada
Na majeshi yote ya malaika
Tumwabudu Bwana tukamsifie
Tukamtukuze neno, tukamnyenyekee