Nimepewa Mamlaka

Nimepewa Mamlaka
Performed by-
CategoryKupaa kwa Bwana (Ascension)
Views4,303

Nimepewa Mamlaka Lyrics

  • Nimepewa mamlaka *2
    Mbinguni na duniani
    Nimepewa mamlaka yote *2
  • Basi enendeni mkayafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu *2
  • Mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na Roho Mtakatifu
    Na kuwafundisha yote niliyowaamuru
  • Na tazama mimi niko pamoja nanyi siku zote
    Niko pamoja nanyi siku zote mpaka ukamilifu ukamilifu wa dahari