Kiapo cha Ubatizo
| Kiapo cha Ubatizo | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ubatizo |
| Composer | Joseph Makoye |
| Views | 11,066 |
Kiapo cha Ubatizo Lyrics
- [ t ] Kiapo cha uba-tizo wangu,
kutoa si mimi ni wao
Ni mzima nayo akili yangu,
ninaapa mwenyewe leo{ Ninaapa, ninaapa,
ninaapa mwenyewe leo,
Ninaapa mwenyewe leo } *2 - Naapa Yesu ndiye Mwokozi,
sadaka mlipa le-tu deni
Mwenyewe Mwana wa Mwenye-zi,
naapa ni yangu imani - Naapa kwa Mungu na kanisa,
ni mtoto tangu ubatizo
Ya jana nayatubu makosa,
naapa ni mtu mpya si mchezo