Roho Mtakatifu Mungu
| Roho Mtakatifu Mungu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
| Views | 8,503 |
Roho Mtakatifu Mungu Lyrics
Roho Mtakatifu Mungu tushushie leo mapaji ya Mbingu
- Ukiwa mbali peke yetu hatuwezi jambo jema
Tuna dhambi tunakosa tu ukija ndani yetu twapona tu wema - Mbaya wetu shetani mdanganyifu atuzungusha na mitego
Twaogopa kwani tu wakosefu tupe nguvu tusiche hilaye - Tufunze hekima ya taratibu siku zote tukimtii Rabi
Tujiweke tayari kwa hesabu tuepuke na dhambi