Njoo Roho Mtakatifu
| Njoo Roho Mtakatifu | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
| Views | 7,658 |
Njoo Roho Mtakatifu Lyrics
- Njoo Roho Mtakatifu - njoo Roho Mtakatifu
Njoo njoo Bwana - ulete mapaji yakoZienee- zienee nyoyo za waumini
Ukawashe ndani yao moto
Wa mapendo yako *2 - Njoo Roho wa hekima -
Njoo njoo Bwana - ulete mapaji yako - Njoo Roho wa Ibada -
Njoo njoo Bwana - ulete mapaji yako