Njoo Roho Mwema
Njoo Roho Mwema | |
---|---|
Performed by | - |
Category | Roho Mtakatifu (Pentecoste) |
Views | 6,915 |
Njoo Roho Mwema Lyrics
Njoo njoo njoo kwetu Roho Mwema Mfariji *2
Tufundishe ya Mbinguni tuwe wote watu wapya
Njoo Roho mwema njoo kwetu njoo
Utupe hekima tuishi na wewe *2- Wewe waitwa kisima cha uzima tena mafuta ya roho *2
- Wewe mtoaji wa mapaji saba kwa jina la Mungu Baba *2