Njoo Roho Mwema

Njoo Roho Mwema
Choir-
CategoryRoho Mtakatifu (Pentecoste)
SourceTanzania

Njoo Roho Mwema Lyrics

Njoo njoo njoo kwetu Roho Mwema Mfariji *2
Tufundishe ya Mbinguni tuwe wote watu wapya
Njoo Roho mwema njoo kwetu njoo
Utupe hekima tuishi na wewe *21. Wewe waitwa kisima cha uzima tena mafuta ya roho *2

2. Wewe mtoaji wa mapaji saba kwa jina la Mungu Baba *2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442