Amefufuka Yesu

Amefufuka Yesu
Performed by-
CategoryPasaka (Easter)
Views7,737

Amefufuka Yesu Lyrics

  1. Amefufuka Yesu, ni mwana wake Mungu

    Twimbe aleluya, tuimbe aleluya
    Aleluya Mwokozi wa dunia
    Aleluya amefufuka mzima
    Amefufuka Yesu tuimbe aleluya

  2. Amefufuka Bwana, kaburi liko wazi
  3. Aliyesulubiwa, kwa enzi kafufuka
  4. Mtumishi wake Mungu, ametukuzwa sana
  5. Ubao wa msalaba, furaha umeleta
  6. Mwanakondoo wetu, sadaka amechinjwa
  7. Tuile karamuye, kwa shangwe tumwimbie