Amefufuka Aleluya

Amefufuka Aleluya
Choir-
CategoryPasaka (Easter)
SourceTanzania

Amefufuka Aleluya Lyrics

Amefufuka aleluya, Yesu amefufuka aleluya1. Kaburi lafunguka - aleluya
Mwokozi kafufuka - aleluya

2. Mapema asubuhi - aleluya
Katoka kaburini - aleluya

3. na sasa yuko hai - aleluya
Shujaa na hodari - aleluya

4. Ni Bwana wa dunia - aleluya
daima atawala - aleluya

5. Mchungaji wetu mwema - aleluya
Leo amefufuka - aleluya

6. Uzima kapotea - aleluya
Leo umerudishwa - aleluya

7. Tulipobatizwa - aleluya
Uzima tulipata - aleluya

8. siishi tena mimi - aleluya
Uhai wangu Kristu - aleluya

9. Hiyo ndiyo siku kuu - aleluya
Yake Yesu na yetu - aleluya

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Sasa Wakati Umefika 7482439
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442