Aleluya Bwana Amefufuka
Aleluya Bwana Amefufuka Lyrics
Aleluya aleluya aleluya aleluya
Bwana (leo) Bwana amefufuka *2
- Yeye ni Bwana wa Mbingu na dunia - amefufuka
Ametundikwa msalabani kwa ajili yetu - amefufuka
- Katikati yao wanyang'anyi alisulubiwa - amefufuka
Hata mijeledi alipigwa kwa ajili yetu - amefufuka
- Yeye ni nuru ya ulimwengu toka kwake Baba - amefufuka
Amekuja auleta mwanga kwetu wanadamu - amefufuka
- Amedhihirisha na upendo wake Mungu kwetu - amefufuka
Nasi tumpokee mioyoni mwetu wanadamu - amefufuka