Aleluya Bwana Amefufuka

Aleluya Bwana Amefufuka
Choir-
CategoryPasaka (Easter)
SourceTanzania

Aleluya Bwana Amefufuka Lyrics

Aleluya aleluya aleluya aleluya
Bwana (leo) Bwana amefufuka *2


1. Yeye ni Bwana wa Mbingu na dunia - amefufuka
Ametundikwa msalabani kwa ajili yetu - amefufuka

2. Katikati yao wanyang'anyi alisulubiwa - amefufuka
Hata mijeledi alipigwa kwa ajili yetu - amefufuka

3. Yeye ni nuru ya ulimwengu toka kwake Baba - amefufuka
Amekuja auleta mwanga kwetu wanadamu - amefufuka

4. Amedhihirisha na upendo wake Mungu kwetu - amefufuka
Nasi tumpokee mioyoni mwetu wanadamu - amefufuka

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442